John 5:39-40

39 aNinyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi. 40 bLakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.

Copyright information for SwhNEN